
MAABARA YA MAISHA
Make a Difference Today

TUNAFANYA NINI?
Tunapambana pamoja kujukwamua kutoka kwenye umaskini
Katika maabara ya maisha wote tunasukumwa na lengo moja tu; kupambana bila kukata tamaa wala kushindwa mpaka tutakapofanikisha ndoto zetu. Tunaamini kila mmoja wetu anachukizwa na kuumizwa na hali ya umaskini tunayoiishi. Tutajitahidi kwa pamoja kupeana maarifa, kutiana moyo na kukumbushana mambo yote ya msingi tunayotakiwa kufanya ili kufanikiwa katika maisha. Tunaamini kila mmoja wetu ni mshindi ikiwa tu ataamini kushinda.

IPIGANIE NDOTO YAKO
IPAMBANIE NDOTO YAKO
WEWE NI MSHINDI.

MADA ZA KUHAMASISHA SAFARI YA MAFANIKIO
Kupeana maarifa, shuhuda na kutiana moyo
Lengo letu ni kuhakikisha kuwa kila mmoja wetu anatimiza ndoto zake pasipo kukata tamaa.
Get in touch today and get involved with our cause.
"Kila mmoja wetu ana kitu cha kipekee ndani yake; jiamini. Wewe ni mshindi."
Onesmo Mushi
