
JE KUNA BAHATI KATIKA MAISHA?
JE KUNA BAHATI KATIKA MAISHA? Oprah Winfrey aliwahi kusema, hakuna bahati kwenye maisha wala hakuna anayefanikiwa kwa kubahatisha....

ANZA NA KIDOGO
KITUMIE KIDOGO ULICHONACHO; MUNGU ATAKUONGEZEA MBELE YA SAFARI Wengi wetu huwa tunazidiwa na hofu na kuogopa kuanza kutembea kuelekea...

Kama unavyotafuta hewa
KAMA UNAVYOTAFUTA HEWA Kuna bwana mdogo mmoja alikuwa anatamani sana kufanikiwa katika maisha yake ila hakujua apambane kiasi gani. Siku...

NIDHAMU
WIKI IJAYO TUNAENDA DAR 💃🏿💃🏿. Naamini wengi mliokulia kijijini mtakubaliana na mimi katika hili. Mwaka 2000 baada ya shule kufungwa...

Tuweke akiba
Kesho itakuwaje? Kwa mama aliye mjamzito sasa, miaka kumi ijayo mtoto atakuwa darasa la tano. Mwenye Miaka 40 sasa hivi atakuwa tayari...

SABABU YA MAPAMBANO
NI IPI SABABU YAKO YA KUPAMBANA? Nilikuwa nasoma kitabu kimoja leo nikakutana mstari mmoja mzuri sana. Ulisomeka hivi, “mtu mwenye sababu...

NIDHAMU YA MAFANIKIO
Je tupo tayari kulipa gharama?? Tajiri mmoja nchini marekani aliulizwa, Je ni mbinu gani unatumia kupata mafanikio? Tajiri alijibu,...

Je ukifa leo?
Kama ukifa leo, ni ndoto gani zitakufa na wewe? Ni matamanio gani makubwa ambayo yangeweza kuibadilisha jamii yetu lakini uliogopa...

Jiandae
JIANDAE KWA SAFARI Mwezi wa Tisa Mwaka 2015, nilipokea ujumbe kutoka ubalozi wa Marekani ukinijuza nimechaguliwa kushiriki kwenye program...

MALENGO
KABLA HAUJAANZA SAFARI, JIULIZE KWANZA “NINATAKA KWENDA WAPI?” Siku za karibuni nilikutana na rafiki yangu mmoja hivi aliyekuwa anahitaji...

HOFU
JE, NI AINA GANI YA HOFU IMEKUWA IKIKUZUIA KUPIGA HATUA? 1. Hofu wa kupata hasara 2. Hofu ya kupoteza marafiki 3. Hofu ya kuchekwa 4....

TAFUTA CHACHU
TAFUTA CHACHU; TAFUTA HAMASA Huwa napenda kufuatilia interview za watu tofauti tofauti maarufu wakielezea mafanikio yao. Siku moja...

ANZA NA WEWE
Siku moja rafiki yangu John alikuwa anasafiri na gari ya rafiki yake kutoka Tanga kuelekea Mafinga. John alichukua gari kwa jamaa usiku...

Untitled
NI JUKUMU LETU SOTE Siku za hivi karibuni nimekuwa nikisoma historia ya mtume Muhammad, pamoja na biblia mara kwa mara. Japo kuna mengi...

Untitled
KILA UNALOLIFANYA LINA MCHANGO KWENYE NDOTO ZAKO! Kuna fundi ujenzi mmoja aliyekuwa ameitumikia kampuni yake kwa miaka mingi sana. Baada...

Untitled
USIMWAMBIE MTU NDOTO YAKO Nikisema hivi huwa nakumbuka sana hadithi ya Joseph katika biblia. Akiwa kati ya watoto kumi na mbili wa mzee...

NI VIGUMU KUMSHINDA MTU ASIYEKATA TAMAA
Japo nimekuja kumfahamu kipindi cha mwisho mwisho wa imahiri wake, Mimi nilikuwa mmoja kati ya mashabiki wakubwa sana wa Mike Tyson....

ONDOA PLAN B
CHOMA HILO DARAJA; IPIGANIE NDOTO YAKO Tafiti zinaonesha kuwa wengi wetu tunashindwa kuzipigania ndoto zetu kwasababu tunaishi kwa hofu....

AMINI KATIKA UNACHOKIFANYA
AMINI KATIKA UNACHOKIFANYA; KIONGEZEE THAMANI Kwa wengi wetu tumekuzwa na fikra kwamba ili uweze kufanikiwa, basi unalazimika kufanya...



