top of page
Search

HOFU

JE, NI AINA GANI YA HOFU IMEKUWA IKIKUZUIA KUPIGA HATUA?

1. Hofu wa kupata hasara

2. Hofu ya kupoteza marafiki

3. Hofu ya kuchekwa

4. Hofu ya kudharaulika

5. Hofu ya kukosa vigezo

6. Hofu ya kuwa na elimu ndogo

7. Hofu ya kuwa peke yako

8. Hofu ya kutokuwa sahihi

9. Hofu ya kuchukua muda mrefu kuona matokeo

10. Hofu ya ugonjwa

11. Hofu ya kushindwa kuhudumia familia

12. Hofu ya kudhulumiwa

13. Hofu ya kutapeliwa

14. Hofu ya kufanya kitu usichokipenda

15. Hofu ya kurudia alichokifanya mtu fulani

16. Hofu ya kuishiwa au kufilisika

17. Hofu ya kupoteza muda

18. Hofu ya kutokupata faida

19. Hofu ya kutokuthubutu

20. Hofu ya kushindwa

21. Hofu ya kuchelewa kuanzisha familia

22.hofu ya kukosa sapoti

23. Hofu ya kupoteza heshima.

24.Hofu ya kutengwa na ndugu jamaa na marafiki

25.Hofu ya kutopata mtoto

26. Hofu ya Kurogwa/uchawi

27.hofu ya kuachika ktk ndoa

28.hofu ya kupoteza watoto

29. Hofu ya kudhurika kiafya

30. Hofu ya kupoteza maisha.

31.hofu ya kuibiwa

32. Hofu ya kupoteza kazi

33. Hofu ya kuongeza maadui

34. Hofu ya kuonekana hauwezi

35. Hofu ya umri mkubwa

36. Hofu ya kuwa na mwili mkubwa

37. Hofu ya kubadili/ kuacha kazi

38. Hofu ya kubadili biashara

39. Hofu ya kuanzisha kitu ambacho hakijazoeleka/cha tofauti

40. Hofu ya kuthubutu

41. hofu ya kukosa

42. hofu ya maumivu

43.hofu ya kuugua

44.hofu ya kujitegemea


Tafadhali endeleza.......


Onesmo Mushi


https://onesmofrenk.wixsite.com/website

https://www.facebook.com/PIGANIANDOTOYAKO

 
 
 

Recent Posts

See All
JE KUNA BAHATI KATIKA MAISHA?

JE KUNA BAHATI KATIKA MAISHA? Oprah Winfrey aliwahi kusema, hakuna bahati kwenye maisha wala hakuna anayefanikiwa kwa kubahatisha....

 
 
 
ANZA NA KIDOGO

KITUMIE KIDOGO ULICHONACHO; MUNGU ATAKUONGEZEA MBELE YA SAFARI Wengi wetu huwa tunazidiwa na hofu na kuogopa kuanza kutembea kuelekea...

 
 
 

Comments


Post: Blog2_Post

Subscribe Form

Thanks for submitting!

  • Facebook
  • Twitter
  • LinkedIn
  • Facebook

©2020 by Maabara Ya Maisha. Proudly created with Wix.com

bottom of page